BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HALI HALISI BAADA YA KIVUKO CHA MV11 KILOMBERO KUPINDUKA MTO KILOMBERO MOROGORO NDIYO HII.


Zaidi ya watu 120 wanadaiwa kunusuriki kifo baada ya kivuko cha MV11 Kilombero kusukumwa na upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha kisha kupinduka kabla ya kugonga daraja la muda la wachina wakati kikivusha mali na watu kutoka ng’ambo ya wilaya ya Ulanga kwenda wilaya nyingine ya Kilombero majira ya saa 1:30 jana mkoani Morogoro.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: