BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KIJANA WA KIUME MIAKA 17 AFANYIWA UPASUAJI WA KWANZA WA UUME ILI UWE MWEMBAMBA.

Daktari akifanya upasuaji wa uume, kijana mmoja wa miaka 17 nchini Uingereza amefanyiwa upasuaji kupunguza uume wake.  

Mvulana mmoja amefanyiwa kile madaktari wanasema ni upasuaji wa kwanza wa kupunguza uume wake.

Kijana huyo wa miaka 17 alikuwa akilalamika kwamba hangeweza kushiriki katika tendo la ngono ama hata kushiriki katika michezo swala lililomshinikiza kuomba kupunguzwa uume wake.

Kabla ya kufanyiwa upasuaji huo uume huo ulikuwa na urefu wa inchi 7 na mzingo wa inchi 10.

Daktari wa upasuaji Rafael Carrion kutoka chuo kikuu cha Florida kusini ambaye alifanya upasuaji huo aliliambia gazeti la Mail Online la Uingereza kwamba ''kuna wakati ambapo kila daktari wa upasuaji hupata ombi la maajabu linalokuacha kinywa wazi.

''Swali hilo ni je, unaweza kuufanya uume wangu kuwa mdogo?".

Kwa wale waliohitaji kufanyiwa upasuaji huo, uume wao hauwi mkubwa wakati unapodinda bali huwa mgumu.

Daktari huyo alisema kwamba wengu hufanyiwa upasuaji wa kukiongeza kiungo hicho na wala si kukipunguza.

Kijana huyo alifanyiwa matibabu hayo na kumaliza matatizo yake.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: