WAKATI TUNASHEREHEKEA...KUNA SWALI LA KUJIULIZA SAWA TUMEUONA 2016...HII INA MAANA GANI KATIKA MAISHA YETU.
OUR BEHAVIOURS KILL US....ARE WE READY TO CHANGE...UKO NA MAMANZI NGAPI...UNAPATA NINI ZAIDI YA HOFU YA HIV na matumizi mabaya ya fedha...
una wanaume wangapi...why....TUWAZE NAMNA YA KUJITEGEMEA ZAIDI KULIKO KUTEGEMEA KUISHI KWA KUHONGWA HASA NA WATU AMBAO NI WAUME ZA WATU....
TUWAZE NAMNA YA KUIMARISHA NDOA, KUBUNI MAENDELEO, KUSOMA ZAIDI NK...KWA WASIO KWENYE NDOA SIO SAHIHI KUFANYA NGONO...YAANI MTU HADI ANAOLEWA AMECHOKA HOI, KILA KITU KIKO HOI....NI AIBU.
TUJISTILI....HATA ANAYEKUOA HAWEZI KUWA NA WASIWASI SANA NA WEWE KAMA ANGALAU 'HUJAHARIBIWA' SANA.
Imeandaliwa na mwanafalsafa Dismas Lyassa.
0 comments:
Post a Comment