IMANI ZA DINI !! KANISA JIPYA LAANZISHWA, MCHUNGAJI HATAKIWI KUKANYAGA CHINI.
PICHA ZILIZOZAGAA MITANDAO YA KIJAMII.
Mchungaji akitoa neno la mungu huku akiwa juu ya migongo ya wanaume watatu katika moja ya kanisa
Hapa akionekana kwa mbele.
Akiwa amebebwa na mmoja wa waumini wa kanisa hilo wakati akitoa neno kwa waumini wengine.
0 comments:
Post a Comment