BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MPINZANI WA RAIS YOWERI MUSEVENI ALIVYOKAMATWA NA POLISI KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU UGANDA 2016


Mpinzani wa Rais Museveni na Mgombea Urais, Dk. Kiiza Besigye amekamatwa na Polisi akiwa njiani kuelekea kwenye mkutano wa Kampeni.
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Uganda unaotarajiwa kufanyika Alhamis ya wiki hii, jana polisi wa Uganda wamemshikilia mgombea urais kupitia chama cha FDC wakati akijaribu kufanya kampeni kwenye kitovu cha mji wa Kampala ambako polisi walizuia.

Polisi walifyatua mabomu kadhaa ya machozi kwenye barabara ya Kampala-Jinja ili kutawanya wafuasi wa Kiza Besigye kisha kumuingiza ndani ya gari ya polisi na kumpeleka kituoni huku wafuasi wake wakimfata kwa usafiri wa pikipiki.

Besigye tayari ameshapoteza chaguzi tatu ambazo zilikumbwa na utata dhidi ya Rais wa sasa, Yoweri Kaguta Museveni ambae yuko madarakani kwa miaka 30 sasa na Besigye alishawahi kuwa daktari wake wakati yuko msituni hadi alipoamua kuwa mwanasiasa na kumuita Museveni kuwa dikteta.
========

UPDATE
Dr Besigye amepelekwa nyumbani kwake chini ya ulinzi wa polisi.
======

Besigye ameongea na waandishi wa habari na kusema hatakaa nyumbani, anajaribu kurudi kwenda kumalizia kampeni yake.

Besigye amerejea mjini na amekusanya watu wengi sana barabarani.
.....................................................
Police have arrested Forum for Democratic Change (FDC) presidential candidate, Dr Kizza Besigye as he tried Monday to access the Kampala Central Business District using the Kampala - Jinja Road.

Mr Semujju Nganda, the FDC spokesperson told Daily Monitor that Dr Besigye had been arrested as he proceeded for scheduled rallies in the Central Business District. 


“Museveni has declared all public places in Kampala Central a no go area for Opposition. We wanted to have a rally at Nakivubo Stadium but police blocked us. This has left us with no choice but to address voters on the streets and roads,” he said.

Before his arrest, Police led by Kampala Central Police Station DPC Aaron Baguma, had blocked Dr Besigye from using Kampala Road suggesting that he uses Mukwano Road to access the city. 


However, Dr Besigye rejected the suggestion. He tried to access the city through Nasser Road but was blocked again before police teargased and dispersed his rowdy supporters. 


He is currently being held at Kira Road police station.

Efforts to get a comment from police were futile as our repeated phone calls to police spokesperson, Mr Fred Enanaga and Kampala Metropolitan police spokesperson Patrick Onyango went unanswered.


Repeated calls to police spokesperson Mr Fred Enanga went unanswered. 


According to the Electoral Commission campaign schedule, Dr Besigye has planned rallies in parts of Central Kampala, including Nakivubo Stadium.

Dr Besigye’s arrest comes just a day after police chief Gen Kale Kayihura warned him against addressing campaign rallies at night, but defended the National Resistance Movement (NRM) presidential candidate, Yoweri Museveni over the same.

Gen. Kale Kayihura said Dr Besigye has been adamant to police calls to respect the Electoral Commission regulations on time on public rallies and traffic, and warned the force was prepared to use force to disperse his crowds.

“We have told Dr Besigye to stop, but the man is completely not bothered. I am making this statement on behalf of the security agencies…we aren’t going to allow him to paralyse the streets and highways,” Gen Kayihura said over the weekend. Source: Daily Monitor
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: