Mimi sio kichaa wala mimi sio dikteta inafika mahali inabidi ufunge macho ufanye maamuzi kutokana na watendaji wa serikali wanavyoiharibu nchi, sadaka yangu kwa watanzania ni kuwatumikia vyema hata nikifika mbinguni naweza kupewa kazi ya kuongoza malaika" Februari 2/ 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli
0 comments:
Post a Comment