Rais Dkt John Magufuli.
Katika uteuzi huo uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakuu wa mikoa 26 ya Tanzania Bara kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi huku watano wamehamishwa vituo vya kazi na mmoja akipangiwa katika mkoa mpya wa Songwe.
Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Mussa Ibrahim Iyombe ametangaza majina hayo leo March13 mwaka 2016 Ikulu Jijini Dar es salaam.
Wakuu hao walioteuliwa ni pamoja na Paul Makonda – Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Elias Kyunga – Mkuu wa Mkoa wa Geita.
Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu – Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga – Mkuu wa Mkoa wa Katavi.
Brigedia Jeneral Mstaafu Emmanuel Maganga – Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
Godfrey Zambi – Mkuu wa Mkoa wa Lindi.
Steven Kebwe – Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
Kamishna Mstaafu wa Polisi Zelote Steven – Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.
Anna Malecela Kilango – Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Mhandisi Methew Mtigumwe – Mkuu wa Mkoa wa Singida.
Antony Mataka – Mkuu wa Mkoa wa Simiyu.
Aggrey Mwanri – Mkuu wa Mkoa wa Tabora.
Martine Shigela – Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
Jordan Mungire Rugimbana – Mkuu wa Mkoa Dodoma.
Said Meck Sadick – Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.
Magesa Mulongo – Mkuu wa Mkoa Mara.
Amos Gabriel Makalla – Mkuu wa Mkoa Mbeya.
John Vianey Mongella – Mkuu wa Mkoa Mwanza.
Daudi Felix Ntibenda – Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Amina Juma Masenza – Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
Joel Nkaya Bendera – Mkuu wa Mkoa wa Manyara.
Halima Omary Dendegu – Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.
Rehema Nchimbi – Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
Mhandisi Evarist Ndikilo – Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
Said Thabit Mwambungu – Mkuu wa Mkoa Ruvuma.
Luteni Mstaafu Chiku Galawa – Mkuu wa Mkoa wa Songwe (Mkoa mpya).
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / kitaifa /
slider
/ HABARI MPYA !!! RAIS DKT MAGUFULI ATEUA WAKUU WAPYA WA MIKOA, YUPO MAKONDA KUONGOZA DAR ES SALAAM.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment