SIMBA ENDELEA KUGAWA DOZI NA KUCHANJA MBUNGA, YAILALUA PRISONS BAO 1-0 UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM.
Mshambuliaji wa klabu ya Simba SC, Awadh Juma ameiendeleza klabu yake kubakia kilele katika msimamo wa ligi kuu Tanzania bara baada ya kufanikiwa kufunga bao moja lililoifanya Simba kuvuna pointi tatu muhimu mbele ya Tanzania Prrisonsu wanja wa taifa jijini Dar es Salaam leo.
Awadh amefunga bao pekee katika dakika ya 88 na kuifanya Simba iongoze ligi kwa pointi 54 akiwaacha Yanga nafasi ya pili na Azam naafasi ya tatu katika msimamo huo wa ligi hiyo.
Kikosi SIMBA SC dhidi ya PRISON.
1. Vicent Angban
2. Juuko Murdish
3. Novalt Lufunga
4. Mohamed Tshabalala
5. Hassan Kessy
6. Justice Majabvi
7. Jonas Mkude
8. Mwinyi Kazimoto
9. Mussa Mgosi
10. Ibrahim Ajib
11. Hamis Kizza
Kikosi cha akiba
1. Robert Kisu
2. Abdi Banda
3. Awadh Juma
4. Said Ndemla
5. Danny Lyanga
6. Peter Mwalyanzi
7. Raphael Kiongera
0 comments:
Post a Comment