APR inaongoza mbele ya Yanga SC baada ya kupata bao dakika ya 3 iliyofungwa na Nkinzigabo kipindi cha kwanza katika mchezo unaofanyika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam ukiwa ni mchezo wa marudio ambapo mchezo wa awali Yanga iliibuka na bao 2-1 katika mchezo uliofanyika Rwanda siku chache zilizopita.Young Africans 0-1 APR FC

0 comments:
Post a Comment