Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma anaipatia Yanga bao la kusawazisha dakika ya 24 baada ya kugongeana pasi murua baina ya Niyonzima kwenda kwa Haji Mwinyi, Kamusoko na kutoa pasi ya goal kwa mfungaji katika kipindi cha kwanza.YANGA 1 APR 1.
Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma anaipatia Yanga bao la kusawazisha dakika ya 24 baada ya kugongeana pasi murua baina ya Niyonzima kwenda kwa Haji Mwinyi, Kamusoko na kutoa pasi ya goal kwa mfungaji katika kipindi cha kwanza.
0 comments:
Post a Comment