BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

ZANZIBAR KUMEKUCHA, WACHOMA MOTO KITUO CHA AFYA, NYUMBA 5 NA OFISI YA CCM



WATU WANNE WASHIKILIWA NA POLISI MICHEWENI BAADA YA KUDAIWA KUMZOMEA DKT SHEIN.

Jana majira ya saa 12.30 jioni wafuatao wamewekwa ndani ktk kituo cha polisi Micheweni wakitokea kijiji Mpopooni Micheweni kama ifuatavyo.


1. OMAR HASSAN HAMAD (42).
2. HASSAN OMAR HASSAN (16).
3. HASSAN NASSOR HASSAN (12).
4. HAMAD NASSOR HASSAN (11).


Shauri hili limeripotiwa katika kituo cha polisi Micheweni.


Taarifa zaidi tutaendelea kuwapatia kadri tutakavyozipata kutoka Visiwani Zanzibar.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: