
Bosi wa Virgin Group, Sir Richard Branson katika tembelea zake za kushtukiza katika ofisi zake ulimwenguni alipita Australia na kumkuta huyu mfanyakazi wake (pichani) akiwa ameuchapa kabisa kausingizi.
Bosi ya baada ya kuona hali hiyo akaamua kupiga naye kabisa picha kwanza pembeni yake kwachaaa.
Kwa habari zaidi katika tukio hilo tembelea: https://www.virgin.com/richard-branson/australian-adventurehttps://www.virgin.com/richard-branson/australian-adventure

0 comments:
Post a Comment