BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

JE ANAKINGIWA KIFUA ?: PROF LIPUMBA HAKUJIULU UENYEKITI CUF KWA HOJA ZA KISHERIA


Wanasheria 15 wameeleza kuwa Professa Ibrahim Lipumba bado mpaka sasa yeye ndiye mwenyekiti wa chama cha wananchi (CUF) kwa mujibu wa chama hicho.Wasomi hao wa sheria wanapingana na wanasiasa wanaodai kwamba Prof Lipumba amekwisha jiuzulu uenyekiti hii ni kutokana na Katiba ya chama hicho cha Cuf.

Wakili Msomi wa Mahakama kuu L W Lugaye alisema kuwa "ili Prof Lipumba awe amejiuzulu uenyekiti ni lazima (sio ombi) barua yake ipelekwe katika mkutano mkuu wa Taifa wa Cuf na iweze kujadiliwa"

Taratibu za Professa Lipumba kujiuzulu bado hazijakamilika hivyo ni makosa kisheria kuitisha uchaguzi ndani ya Cuf kwa nafasi ya kujaza nafasi ya mwenyekiti.

"MADHARA YA KULAZIMISHA JAMBO HILI NI MAKUBWA SANA KISHERIA"

Kama Msajili wa vyama Mhe MUTUNGI akifuata SHERIA bila kumuonyea HAYA mtu kunaweza kutokea MGOGORO mkubwa sana hata KUKIFUTA CHAMA.

Nafasi ya Mwenyekiti wa Cuf HAIPO WAZI KISHERI haipaswi kujazwa wala kuitishwa uchaguzi kwa mujibu wa KATIBA Cuf.

NIMEISOMA KATIBA YOTE NASUBIRI KUONA MSAJILI KAMA ATABARIKI UVUNJIFU HUU WA KATIBA

Nafahamu chama cha Cuf kinawasomi wa SHERIA lakini sijui kwanini wanashindwa KUWASHAURI viongozi wao KITAALUMA na badala yake Wanawafurahisha.


LAKINI HATA HIVYO KILA MCHANGIA ALIKUWA NA NENO ALILOONA LINAFANYA KUCHANGIA.

Dickson Luambano
Dickson Luambano Infomer wa ccm,achaneni nae.
Rashidi Mkwinda
Rashidi Mkwinda Cuf ya prof Lipumba IGP mahita anaonyesha visu tv zote na Cuf hawana pakukanusha na muda wa kampen umeisha.utafananisha na Cuf hii iliyobatizwa na ukawa.twaha tasilima hajui hata kuongea km kanywa viroba vya chadema.tupa kule.Lipumba kwanza mengine baadae.
Advano Sankwa
Advano Sankwa Huna hoja yoyote Lipumba alishajiuzuru wadhifaa wake
Chesco Ashery
Chesco Ashery 7 watetezi wa wasaliti wapo wengi,,
Emmanuel Syllas
Emmanuel Syllas labda lipumba ni mwenyekiti was cuf ya ruanda alikoenda wakati wa uchaguzu kutanua baada ya kuongwa na ccm
Like · Reply · 1 · 11 hrs
Lackson Kosmas
Lackson Kosmas Mtuma post huna upeo wa kutosha acha ujinga ujinga
Like · Reply · 2 · 4 hrs
Renatus Christopher Kiure
Renatus Christopher Kiure Mtuma post ni kilaza inaelekea mtu kajiuzuru Katamkia dunia yote BBC.dochvile kasaliti wakati chama kiko kwenye mapambano ya uchaguzi kaenda Rwanda Leo chama kimepata wabunge wengi tofauti na miaka yote anaibuka anatk uenyekiti kwa lipi?mshaurini agombee tena akishinda hapo sawa
Pafu Mazina
Pafu Mazina Lipumba hafai hata kidogo, mwanajeshi gani anayerudi nyuma wakati wa mapambano ya vita baada ya mapambano aombe arudishwe kikosini, kifupi hafai hata kama tunajua uzuri wake, amepoteza waledi wa kuwa mwenyekiti wa Chama, nyuma ya pazia kuna kitu kinach...See more
Like · Reply · 1 · 2 hrs
Godwin Mallya
Godwin Mallya Naye akae pembeni wapo watu wanaoweza kuongoza... Awe mlezi sasa.
Like · Reply · 1 hr
Tausi Swalehe
Tausi Swalehe Ndi ndiii ndiiii ndiiiiii
Like · Reply · 1 · 1 hr
Mudhakiru Dauda
Mudhakiru Dauda Hivi what is so special behind the return of lipumba in his chairmanship post he resigned last year?
Like · Reply · 1 hr
 
KUFUATILIA ZAIDI BOFYA CHINI.
https://www.facebook.com/groups/222349424535604/permalink/829123477191526/
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment