BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA JENGO JIPYA LA STENDI YA BASI YAENDAYO MIKOA YA MSAMVU MOROGORO.


Jengo jipya la kisasa la golofa mbili la stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani la Msamvu Bus Termanal mkoani Morogoro likiwa katika hatua za mwisho wa ujenzi wake kama linavyoonekana pichani, ujenzi wa jengo hilo ulianza April mwaka 2015 na Kampuni ya Kichina ya Group Six International na lilitarajiwa kukamilika Juni mwaka huu.PICHA/MTANDA BLOG
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: