Wakazi wa kijiji cha Ipera Asilia kata ya Itete Njiwa wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro wakiwa wameduwaa wakati wakimwangalia mamba aliyekutwa amekufa katika maji katika bonde la Ikotakota, mamba huyo anadhaniwa amekufa kutokana na maradhi. PICHA/MTANDA BLOG
0 comments:
Post a Comment