
Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli wa pili kutoka kushoto akifurahia jambo na marais wastaafu waliowahi kuongoza nchi ya Tanzania.
Kutoka kushoto ni rais mstaafu awamu ya pili Alhaji Aly Hassan Mwinyi, rais mstaafu awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa wa kwanza kulia na rais mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete rais mstaafu awamu ya nne.
Picha hiyo ilipigwa hivi karibuni katika moja ya hafla za kiserikali.

0 comments:
Post a Comment