
Mwenyekiti wa zamani wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba ameeleza kuwa amemwandikia Katibu Mkuu wa chama hicho barua ya kutengua uamuzi wake wa kujiuzulu nafasi ya mwenyekiti wa chama hicho kikongwe nchi cha upinzania (CUF).
Prof Lipumba aliongeza kwa kusema kuwa kwaa sasa anasubiri majibu toka kwa Katibu Mkuu, Maalim Seif baada ya ombi lake kujadiliwa na ngazi za juu za kichama.
Akizungumzia Bajeti ya mwaka wa Fedha 2016/17 yenye thamani ya zaidi ya Trilioni 29.5 alieleza kuwa haiendani na uhalisia wa bajeti hiyo.

0 comments:
Post a Comment