BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

POLISI WAVAMIA MAHAFALI YA WANAFUNZI WA CHADEMA WA VYUO VIKUU VYA DODOMAJeshi la Polisi mkoani Dodoma leo limewatawanya wanafunzi ambao ni wafuasi wa Chama cha Chadema wanaosoma vyuo vikuu mkoani humo walikuwa wakishiriki hafla ya mahafali katika Hotel ya African Dream.

Katika hafla hiyo mgeni rasmi alitalajiwa kuwa Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ambapo baadhi ya wanafunzi walikamatwa baada ya kuwambiwa watawanyike na kurudi majumbani kwao.Chanzo:Mwananchi
Share on Google Plus

About Unknown

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: