BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WAISLAMU WACHANGA FEDHA ILI ZISAIDIE UJENZI WA KANISA


Mji mmoja nchini Pakistan katika jimbo la Punjab, ambao ulipata umaarufu kutokana na vurugu zake dhidi ya makundi ya jamii ndogo umeleta watu pamoja kwa njia isiyo ya kawaida.

Wakulima maskini wa Kiislamu katika kijiji cha Gojra wanachanga fedha ili kusaidia katika ujenzi wa kanisa kwenye eneo lao.

Lakini hali hii ya kuelewana na kuvumiliana kweli itawezekana katika eneo ambalo mara nyingi hutokea fujo za kidini?
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: