NAMNA YANGA ANAVYOWEZA KUPITA KWENYE KUNDI LAKE KWENYE CAF CONFEDERATION CUP 2016.
Baada ya TP Mazembe jana kuifunga MO Bejaia bao 1-0 msimamo wa kundi lao upo kama ifuatavyo.
1. TP Mazembe 10
2. Mo Bejaia 5
3. Medeama 5
4. Young Africans 1.
Mechi zijazo ni
- Young Africans vs MO Bejaia (Taifa)
- TP Mazembe vs Medeama (Ghana)
Young Africans AMFUNGE MO Bejaia Taifa,
Mazembe amfunge Medeama.
Msimamo unakuwa hivi.
1. TP Mazembe 13
2. Mo Bejaia 5
3. Medeama 5
4. Young Africans 4.
Mechi za mwisho
- MO Bejaia vs Medeama
- TP Mazembe vs Young Africans
Young Africans AMFUNGE TP Mazembe, MO
Bejaia vs Medeama isitoe mshindi.
Msimamo WA MWISHO unakuwa hivi.
1. TP Mazembe 13
2. Young Africans 7
3. Mo Bejaia 6
4. Medeama 6
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / michezo /
slider
/ IKIWA HIVI YANGA SC KUTINGA NUSU FAINALI YA KOMBE LA MABINGWA AFRIKA 2016.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment