Dakika ya pili Yanga imeweza kujipatia bao la kuongoza lililofungwa na Donald Ngoma dhidi ya Medeama kabla ya Medeama kusawazisha na kwenda mapumziko wakiwa wametoshana nguvu ya bao 1-1.
MAPUMZIKO: YANGA SC NA MEDIAMA ZAVIMBIANA UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM
Dakika ya pili Yanga imeweza kujipatia bao la kuongoza lililofungwa na Donald Ngoma dhidi ya Medeama kabla ya Medeama kusawazisha na kwenda mapumziko wakiwa wametoshana nguvu ya bao 1-1.

0 comments:
Post a Comment