Sare iliyoambulia klabu ya Yanga SC dhidi ya Medeama ya bao 1-1 imejiweka katika mazingira magumu ya kufuzu hatua inayofuata ya kombe la mashindi.Kutokana na nafasi walizopata za wazi ikiwemo ya Chirwa kipindi cha kwanza na Tambwe kipindi cha pili licha ya kuanza vizuri kipindi cha kwanza kabla ya wenyeji wao hawajaweza kupata bao la kusawazisha.

0 comments:
Post a Comment