MKUU WA MKOA WA MBEYA AMALIZANA NA RAIS MAGUFULI KATIKA ISHU YA UTENGENEZAJI WA MADAWATI
Mkuu wa Mkoa amepongeza viongozi, watendaji na wananchi wote wa Mkoa wa Mbeya kwa kukamilisha utengenezaji wa madawati 32.000 katika halmashauri sita za Mkoa wa Mbeya ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais kuhakikisha i kila Mtoto akae katika dawati.
Hayo ameyasema Leo wakati wa hafla ya kukabidhi mwenge wa Uhuru kwa Mkoa wa Songwe.
0 comments:
Post a Comment