Kwa mujibu wa Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry mwezi umeandama maghalribi ya leo Julai 05 na kesho ni Sikukuu ya Eid Fitr.
Waumini wa dini ya kiislamu wataswali swala ya ed el fitr baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani unaowalazimu waumini hao kujizuia kula chochote kwa kipindi cha mwezi mzima ikiwa ni moja ya ibada muhimu.

0 comments:
Post a Comment