NASA KUCHUNGUZA JIWE KUBWA LINALOJONGEA KWA KASI KUITWANGA DUNIA
Shirika la Utafiti wa Anga la Marekani (NASA) Linatuma chombo kuchunguza jiwe kubwa linaloelea angani ambalo huenda likahatarisha Sayari ya dunia kwa kukatiza katikati ya Dunia na Mwezi mnamo mwaka 2135. Rais Barak Obama ametanabaisha azma yake ya kuongeza kufadhili uchunguzi huo.
Jiwe hilo limepewa jina la BENNU lina ukubwa wa kipenyo cha mita 500 yaani urefu wa viwanja vitano vya mpira, endapo litaigonga dunia mlipuko wake ni sawa na tani bilioni tatu za milipuko au sawa na mabomu 200 ya Hiroshima.
Yasemekana hadi sasa Kimondo hicho kimesogea kama160 tangu 1999.
Ingawa wengi wetu wa kizazi hiki hatutakuwepo karne hiyo lakini madhara yatakayowakuta vizazi hivyo ni hatari hii ni kwa mujibu wa news duniani.
NASA Probe To Investigate Asteroid That Could Eventually Hit Earth
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment