BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UNAPOTOA ADHABU KALI KWA MKE WAKO KUMBE KOSA UNALO MWANAUME, INAUMIZA MOYO KWA NDUGU

 
Mwanamke huyu alikatwa mikono na mumewe baada ya kukosa Kupata ujauzito.
 
Jackline Mwende, (27) Lakini baada ya uchunguzi wa kidaktari Mwanaume aligundulika kuwa mbegu zake za kiume hazina uwezo wa kumfanya  mwanamke kushika mimba.

Mwanaume huyo kutoka Kaunti ya Machakos nchini Kenya amemkata mkewe mikono yote miwili sababu ya kukaa naye kwenye ndoa kwa miaka 7 bila kupata ujauzito. 

Je ni vyema kumpiga mkeo ?.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: