BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

CHOMBO CHA HABARI KITAKACHORIPOTI HABARI YA UCHOCHOZI KITAHESABIWA KUHUSIKA NA UCHOCHOEZI




Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini, Nape Moses Nnauye ametoa tahadhari kwa waandishi na vyombo vya habari ambavyo vitajihusisha na kuripoti mikutano, maandamano au habari yoyote ambayo ni ya kichochezi kwa taifa kuwa vitahesabika kuwa vyenyewe navyo ni vya kichochezi, hivyo chombo husika kinaweza kufungiwa kwa kueneza uchochezi.

Amesema vyombo vya habari havipaswi kuripoti habari za kuonyesha kuichonganisha serikali na wananchi wake.

Hayo yamesemwa wakati wa kumtambulisha ndugu Hassani Abbas aliyechukua nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Habari-Ikulu (Msemaji wa Serikali), Assah Mwambene.

Chanzo.http://www.jamiiforums.com
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: