Rais Magufuli kulia na Mwenyekiti UPDP, Dovutwa.“Kama si busara za CCM kumteua Magufuli kugombea urais wa Tanzania, hali ya nchi ingekuwa mbaya na taifa lingekuwa kwenye hatari zaidi kwa sababu genge la wala rushwa, wakwepa kodi na majangili waliamua kuingilia uchaguzi na kupanga ni nani awe kiongozi”, Fahmi Dovutwa Mwenyekiti wa Chama cha UPDP.

0 comments:
Post a Comment