BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UPENDO HUU WA KUNGURU NA MNYAMA NI WA KIWANGO CHA JUU KWELI KWELI.

 
Kunguru anasimama kichwani mwa kulungu aking'oa manyoya ili kujenga kiota chake.

Kunguru na kulungu wana uhusiano wa kunufaishana, kulungu anampatia kunguru manyoya na kunguru anamsaidia kuwaua chawa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: