BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

AJALI ZA BARABARANI NAMNA ZINAVYOWANUFAISHA WEZI TANZANIA


Baadhi ya Vijana wasio waaminifu wakiiba mifuko ya seruji kufuatia ajali ya basi na lori kutokea kisha kuanza kuteketea kwa moto katika ajali iliyotokea barabara kuu ya Dar es Salaam-Morogoro jana jioni.


Basi lenye namba za usajili T990 AQF la kampuni ya Safari Njema liililokuwa likitokea Dodoma kwenda jijini Dar es Salaam likiwa limeteketea kwa Moto eneo la Kimara Stop Over-Suka.


Ajali hiyo ya basi inadaiwa kutokea mara baada ya kugongana na lori lililokuwa limebeba shehena ya mifuko ya saruji jioni ya jana na kupelekea mali zote zilikowemo katika basi kuugungua kwa moto huku hali za abiria wakiwa wamenusurika kifo.

Pichani lori pamoja na basi yakiteketea kwa moto

Baadhi ya mashuhuda wakishuhudia tukio hilo lilivyokuwa
Gari la zima moto likiwa eneo la tukio kuuzima moto huo.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment