BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

GOLI LA TAMBWE NA KUMBUKUMBU YA MADARAKA SELEMANI WA SIMBA SC ENZI ZA KIPA PETER MANYIKA

Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akimtoka beki wa Simba, Novaty Lufunga katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana ambapo mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bao 1-1.

Na Betty Mkwasa  
FT. YANGA 1 VS 1 SIMBA.
Machi 31,2002. Katika fainal ya kombe la Tusker kwenye uwanja wa uhuru. Ilikuwa katika dakika 32 wakati mshambuliaji wa Simba wakati huo Madaraka Selemani alipopokea mpira mrefu katikati ya mabeki wa Yanga alifanya kama alivyofanya Tambwe jioni ya jana.

Kisha Madaraka alimtungua Peter Manyika kwa shuti kali. Huku mwamuzi Omary Abdukadir hakuona wakati Madaraka alipoumiliki mpira kwa mkono kabla ya kufunga goli.

Mashabiki wa Simba walibakia wakishangilia kwa nguvu. Huku wale wa Yanga wakipandwa na jazba hali iliyopelekea raisi wa Yanga wakati huo Abbas Tarimba kuonesha ishara ya kuwataka wachezaji wake watoke nje akiwa jukwaa kuu pembeni kabisa na mgeni rasmi Alhaji Hassan Mwinyi.

Siku chache baadae Abas Tarimba alikuja kufungiwa na FAT wakati huo sasa ni TFF kutojihusisha na soka kutokana na kitendo chake hicho.

NI KUMBUKUMBU TU KWA KUWA MUOSHWA UOSHWA..BASI TUNYAMAZE TU.


Mjadala umeendelea kwa kukumbusha matukio yanahusu watani wa jadi Simba SC dhidi ya Yanga SC na kilichoendelea kilikuwa kama hivyo hapa chini, baada ya post ya Benjamin Kasenyenda Andongolile kuhusu goli la AMIS TAMWE kwa marafiki zake hawa dhidi ya Simba sc.
3 hrs ·

13 Comments
Comments
Emmanuel Chacha
Emmanuel Chacha Kwa kukusaidia tu tuma hiyo clip fifa na Guinness Book of Records ili liwekwe kwenye records ya mojawapo ya magoli ya ajabu kuwahi kufungwa ktk historia ya mpira duniani! Nadhani kwenye top ten litakuwemo na Yanga itazidi kufahamika kimataifa
Like · Reply · 1 · 2 hrs · Edited
Munir Mbinga
Munir Mbinga Usiangaike sana Benjamin tatizo lenu vyombo vya habari viliwapa sana vichwa mpira hauchezwi ivyo
Like · Reply · 2 · 2 hrs
Betty Mkwasa
Betty Mkwasa GOLI LA TAMBWE NA KUMBUKUMBU YA MADARAKA SELEMANI.

FT. YANGA 1 VS 1 SIMBA.


Machi 31,2002. Katika fainal ya kombe la Tusker kwenye uwanja wa uhuru. Ilikuwa katika dakika 32 wakati mshambuliaji wa Simba wakati huo Madaraka Selemani alipopokea mpira mrefu katikati ya mabeki wa Yanga alifanya kama alivyofanya Tambwe jioni ya leo.

Kisha Madaraka alimtungua Peter Manyika kwa shuti kali. Huku mwamuzi Omary Abdukadir hakuona wakati Madaraka alipoumiliki mpira kwa mkono kabla ya kufunga goli.

Mashabiki wa Simba walibakia wakishangilia kwa nguvu. Huku wale wa Yanga wakipandwa na jazba hali iliyopelekea raisi wa Yanga wakati huo Abbas Tarimba kuonesha ishara ya kuwataka wachezaji wake watoke nje akiwa jukwaa kuu pembeni kabisa na mgeni rasmi Alhaji Hassan Mwinyi.

Siku chache baadae Abas Tarimba alikuja kufungiwa na FAT wakati huo sasa ni TFF kutojihusisha na soka kutokana na kitendo chake hicho.

NI KUMBUKUMBU TU KWA KUWA MUOSHWA UOSHWA..BASI TUNYAMAZE TU.
Like · Reply · 3 · 2 hrs
Benjamin Kasenyenda Andongolile
Benjamin Kasenyenda Andongolile Dada Betty Mkwasa hizo ngonjera mbona hata miye naweza andika tuu.Leta ushahidi wa kideo tukupigie makofi halafu tukusute kwamba huwezi kusahihisha kosa kwa kufanya kosa
Emmanuel Chacha
Emmanuel Chacha Hao hawanaga hizo memory Da Betty Mkwasa, sasa kama wanasema goli lao la kubahatisha jana ni bora duniani huku akina Kajole na Minziro ilikuwa ni vitu vya kawaida kwao long time ago watakumbuka magoli ya aina hiyo kweli!?
Leonard Suffocator Mwakijungu
Leonard Suffocator Mwakijungu Mbona ni la mguu kabisa ilo 😂😂
Betty Mkwasa
Betty Mkwasa Video haikuwepo wakati huo Ben inawezekana ulikuwa bado na kamasi puani huko Tukuyu hujui kitu wee mnyakyusa Acha ss wakubwa zako tuongee
Like · Reply · 3 · 2 hrs
Yahya Msangi
Yahya Msangi Goli la akili sana Benjamin Kasenyenda Andongolile. Utadhani La Liga au EPL!
Like · Reply · 1 · 2 hrs
Benjamin Kasenyenda Andongolile
Benjamin Kasenyenda Andongolile Watu kwa utetezi buana looh hamnaga aibu Yahya Msangi
Like · Reply · 1 · 2 hrs
Yahya Msangi
Yahya Msangi Benjamin Kasenyenda Andongolile wee naona hata ukiambiwa mama alikuzaa utadai uletewe kideo akikuzaa! Betty Mkwasa kaelezea tukio la kweli video si lazima! Wee una video ya mungu akiumba? Mbona unaamini anaumba? Teheeeee
Like · Reply · 1 · 2 hrs
David Mwanganda
David Mwanganda Kizuri kienziwe haramu weka mbali na watoto ,wapigaji kona zamani walijulikana kama wachongaji hasa umahiri wao ulikuwa kuudumbukiza mpira kambani moja kwa moja.Simba imetupa taarifa kwamba bado inawatu adimu.Nadhani magazeti yamekosa watu
Like · Reply · 1 · 2 hrs
Benjamin Kasenyenda Andongolile
Benjamin Kasenyenda Andongolile Yangwa hamuishiwi vijimanenona kejeli haya wazee wa kubebwa.com
Like · Reply · 1 hr
Willey Mwakibete
Willey Mwakibete Dada bety umetukumbusha vizuri tatizo ndugu yangu Benjamin anajua ila hata kukubalika kingine walikuwa na matokeo yao mfukoni sasa imekuwa tofauti shida inaanzia hapo, Benjamin hatuwezi tena kubadilisha matokeo shukuru kwa hiyo sare kaka
Like · Reply · 1 hr

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: