Lori likiwa limeanguka baada ya kupata ajali mlima wa Sekenke mkoani Singida mchana wa leo.Picha kwa hisani ya mdau Benjamin Kasenyenda Andongolile Ajali hiyo inadaiwa ilitokana na madereva mmoja wapo kuyapita magari mengine katika eneo hatarishi.
Lori likiwa limeanguka baada ya kupata ajali mlima wa Sekenke mkoani Singida mchana wa leo.Picha kwa hisani ya mdau Benjamin Kasenyenda Andongolile
0 comments:
Post a Comment