HABARI MPYA ! FREEMAN MBOWE AKATAA WITO WA RC MAKONDA KURIPOTI KITUO CHA POLISI LEO
MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, amekataa wito wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuripoti kituo kikuu cha polisi Dar es Salaam leo, na kusisitiza yupo tayari kutoa ushirikiano kwa vyombo vyenye mamlaka.
0 comments:
Post a Comment