BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MBUNGE WA JIMBO LA ULANGA AIBUKA MPYA KUHUSU MADAWA YA KULEVYA BUNGENI DODOMA


Mbunge wa jimbo la Ulanga (CCM) mkoani Morogoro, Goodluck Mlinga ameeleza kuhusu madawa ya kulevya bungeni leo.

"Nimpongeze ndugu yangu Paul Makonda kwa kuthubutu kutaja neno madawa ya kulevya lakini nimhakikishie kila marafiki watano wanaomzunguka watatu ni wafanyabiashara wa madawa ya kulevya, aanze na hao"alisema Mlinga.

Mlinga alisema yupo tayari kuwataja wabunge wanaohusika na biashara ya madawa ya kulevya na kuwataka viongozi kuwa na moyo wa taifa zaidi katika kushughulikia suala la madawa ya kulevya.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment