BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RAIS MAGUFULI NAMNA ALIVYOCHUKIA SUALA LA MADAWA YA KULEVYA IKULU DAR ES SALAAM


Katika vita hii ya dawa ya kulevya hakuna mtu maarufu, wala nani, hata akiwa mke wangu Mama Janet wewe shika tu.

Nakupongeza sana IGP kwa kushiriki vita hii kikamilifu.Maamuzi yako ya kuwasimamisha hawa watuhumiwa ni mazuri.

Najua umepigiwa simu nyingi sana,lakini hukuwasikiliza hao; wengine ni wakubwa.Na kama ungewasikiliza, na usingewasimamisha kazi hao polisi; usingekuwa na nafasi hii tena.

Mmeanza vizuri.Mkikamata watumiaji, watawaonesheni wauzaji,wauzaji watawaonesheni waingizaji.Nendeni hivyo tengenezeni hiyo cheni.
Rais JPM, Ikulu Leo Asubuhi.


Video Rais Magufuli alivyoongea leo kuhusu juu ya dawa ya kulevya na watu maarufu.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment