
Mh.Rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli Leo amemteua Prof Kitila Alexander Mkumbo kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji.
Prof Kitila Mkumbo ni Msomi na mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam, na Kada wa Chama cha ACT wazalendo.
Rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli ameteua mtu kutoka chama cha upinzani kama sehemu ya kutojali vyama vyao, bali uwezo wao wa utendaji kazi na uweledi.

0 comments:
Post a Comment