BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SINGIDA UNITED YADONDOKEA PUA SPORTPESA CUP 2017 MBELE YA AFC LEOPARD YA KENYA


Klabu ya Singida united imeondoshwa kwenye mashindano ya SportPesa baada ya kusambaratishwa na AFC Leopard ya Kenya kwa bao 6-5 katika mchezo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.


Singida United imeondoshwa kwenye mashindano hayo kwa changamoto ya mikwaju ya penalti ya bao 5-1 kufuatia sare ya bao 1-1 kumalizika dakika 90.
Kwa Matokeo haya AFC Leopard wanafuzu hatua ya nusu fainali watakutana na mshindi kati ya Yanga vs Tusker Fc mchezo unaokaribia kuanza mda sio mrefu.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment