BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

YANGA SC YASONGA MBELE SPORTPESA CUP 2017 BAADA YA KUIADHIBU TUSKER FC YA KENYA BAO 4-2.

Klabu ya Yanga SC imesonga mbele mashindano ya Sportpesa Cup 2017 baada ya kuiondosha Tusker Sugar ya Kenya kwa bao 4-2 katika mchezo uliomalizika kwa kuamuliwa na mikwaju ya changamoto ya penalti uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam

Yanga na Tusker zilimaliza dakika 90 kwa suluhu ya 0-0 na kulazimika kwenda kumpata mshindi kwa mikwaju ya penalti ambao Yanga imesonga mbele

Penalti za YANGA
Nadir Harubu Canavaro 1.
Obrem Chirwa 2.
Maka Edward Mwakarukwa 3.
Said Mussa 4.

Penalti za TUSKER FC.
Wavula Noah 1.
Usuma Byan 2.
X 3.
Urusu Steven X.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment