BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UINGEREZA YAFANYA MAJARIBIO MANOWARI YAKE MPYA HMS QUEEN ELIZABETH YENYE UWANJA MKUBWA WA NDEGE


Manowari mpya ya Uingereza ilitarajiwa kuanza majaribio ya baharini jana.

HMS Queen Elizabeth ndiyo meli kubwa zaidi kuwai kuundwa kwa jeshi la wanamaji la Uingereza ikiwa na uwanja wa ndege wenye ukubwa wa viwanja vitatu vya soka.

Meli hiyo ni kubwa hadi itahitaji kusubiri kushuka kwa viwango vya maji kuweza kupititia eneo la Forth bridges.

Mashua zingine zitahitaji kuisindikiza meli hiyo kutoka ilikotia nanga huko Scotland.

Hata hivyo itachukua miaka kabla kabla ya manowari ya HMS Queen Elizabeth kuanza kutumiwa na kubeba ndege.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment