BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WAZIRI MKUU ATEMBELEA SHULE YA MSINGI UHURU MCHANGANYIKO NA KUKABIDHI VIFAA VYA KUJIFUNZIA

Waziri  Mkuu  Kassim  Majaliwa  akiangalia Mtoto wa Darasa la saba Uhuru  Mchanganyiko Mariana  Alex  Mwenye  ulemavu  wa macho  , anavyo weza kuandika  kwa kutumia  mashine  maalumu  ya kuandika, Waziri Mkuu  alikabidhi vifaa  vya Kujifunzia katika shule mbali mbali hapa Nchini, shughuli hiyo imefanyika  Jijini  Dar es salaam leo.

Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment