BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

IBRAHIM AJIB AKABIDHIWA JEZI NAMBARI 10 KATIKA KLABU YA YANGA SC.

 
Mshambuliaji mpya wa klabu ya Yanga SC, Ibrahim Ajib Migomba amekabidhiwa jezi namba 10 baada ya kutua kwa mabingwa hao akitokea kwa masimu wao wakubwa Simba SC kwa ajili ya kukitumia kikosim hiyo.

Jezi nambari 10 ilishindwa kuonekana katika klabu ya Yanga SC tangu 2011 ikiwa inatumiwa na mshambuliaji wao, Jerryson Tegete na Matheo Anthony baada ya miaka sita.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment