BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SERIKALI YA RAIS MAGUFULI YAANZA MAZUNGUMZO NA MABOSI WA MIGODI YA BARRICK CORPORATION KUHUSU UPOTEVU WA MADINI


Serikali imeanza mazungumzo na wawakilishi wa Barrick Gold Corporation kuhusu biashara ya madini wanayochimba hapa nchini.

Timu hiyo inaongozwa Prof. Kabudi huku ile ya Barrick Gold Corporation ikiongozwa na Afisa Mwendeshaji Mkuu, Richard Williams.Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati Maalum iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kufanya mazungumzo na uongozi wa Barrick Gold Corporation juu ya biashara ya madini yanayochimbwa na migodi ya kampuni hiyo hapa nchini Jijini Dar es Salaam.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment