Mwanasheria mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amekamatwa na polisi wa jeshi la polisi akiwa uwanja wa ndege wakati akielekea kupanda ndege ili kwenda Kigali nchini Rwanda. Kwa mujibu wa Wakili Msomi, Fatma Karume amenithibitisha kwamba Mwanasheria huyo amekamatwa leo wakati akijitayarisha kuondoka ndipo na jeshi la polisi kumkamata na kwenda naye kituo kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.

0 comments:
Post a Comment