BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BASI LA KAMPUNI YA SHARON LAUA ABIRIA WAWILI WILAYA YA BABATI


Basi la kampuni ya Sharon lililokuwa litatoka Dodoma kwenda Arusha likiwa limepinduka eneo la Mabatini, Babati. Picha na Joseph Lyimo

Basi la kampuni ya Sharon lililokuwa litatoka Dodoma kwenda Arusha, limepinduka eneo la Mabanzini mjini Babati na kusababisha vifo vya watu wawili huku wengine wakijeruhiwa.

Majeruhi wa ajarili hiyo wamepelekwa hospitali ya Mrara mjini Babati.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara akizungumza na gazeti hili, Francis Massawe akizungumza juu ya ajali hiyo alisema kondakta na mtoto mdogo ndiyo walifariki.Taarifa zaidi soma gazeti la Mwananchi.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment