Mhariri Mkuu wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, Frank Sanga akiwa mwenye furaha huku akiwa na lundo la magazeti ya MWANASPOTI mkononi wakati akiyauza kwa watu mbalimbali katika moja ya mitaa ya jiji la Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utambulisho wa muonekano mpya wa gazeti hilo la michezo linalopendwa zaidi nchini.Uzinduzi huo ulifanyia jana na leo sehemu kubwa ya mabosi wa kampuni hiyo wamelinadi gazeti hilo kwa kuuza nakala katika kila kona ya jiji hilo kisha uzinduo huo utaendelea mikoa mbalimbali ya na nje ya nchi.


0 comments:
Post a Comment