BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MTANDAO WA ELIMU TANZANIA (TEN/MET) WAWANOA WANACHAMA WA ASASI ZA ELIMU WA MIKOA SITA MOROGORO

Afisa miradi wa Mtandao wa Elimu Tanzania (Ten/Met), Alisticlia Kamugisha akizungumza jambo wakati wa mafunzo kwa wanachama wa asasi za elimu kutoka mikoa ya Tanga, Tabora, Dodoma, Singida, Dar es Salaam na wenyeji Morogoro yenye lengo la ufuatiliaji hatua ya chini ya uandaaji wa bajeti na ufuatiliaji wa matumizi ya fedha katika sekta ya elimu kwa kutumia mfumo wa PETS yanayoofanyika kwa siku tatu.

Mkufunzi wa masuala ya elimu, Zelote Loilang'akaki akitoa mafunzo hayo kwa wanachama wa asasi za elimu ulioandaliwa na Mtandao wa Elimu Tanzania (Ten/Met) katika ukumbi wa hoteli ya Flome Morogoro.
Kiongozi wa asazi ya Tabora Advocacy Centre For Development (TACEDE), Pai Nyanzandoba akielezea jambo katika mafunzo hayo.

Godbless Nkungu kutoka asazi ya Youth Life Relief Foundation (YLRF), akichangia mada wakati wa mafunzo hayo yenye lengo la la ufuatiliaji hatua ya chini ya uandaaji wa bajeti na ufuatiliaji wa matumizi ya fedha katika sekta ya elimu kwa kutumia mfumo wa PETS yanayoofanyika kwa siku tatu.
Philemon Boyo kutoka asasi ya Fair Education & Infomation Center (FADICE) akiftoa maelezo wakati wa mafunzo hayo yaliyoshirikisha wanachama wa asasi za elimu kutoka mikoa ya Tanga, Tabora, Dodoma, Singida, Dar es Salaam na wenyeji Morogoro.
Afisa miradi wa Mtandao wa Elimu Tanzania (Ten/Met), Alisticlia Kamugisha (wa kwanza mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa asasi za elimu kutoka mikoa ya Tanga, Tabora, Dodoma, Singida na wenyeji Morogoro yenye lengo la ufuatiliaji hatua ya chini ya uandaaji wa bajeti na ufuatiliaji wa matumizi ya fedha katika sekta ya elimu kwa kutumia mfumo wa PETS inayoendelea kufanyika mkoani Morogoro.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: