BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

JUMA KASEJA AMSONONESHA OKWI WAKATI KAGERA SUGAR IKITOA ADHABU KWA SIMBA SC MBELE YA RAIS MAGUFULI

 
Dar es Salaam. Timu ya Simba imekubali imekubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa leo Jumamosi.

Simba imekubali kupoteza mchezo huo muhimu ambao imetibua rekodi yao ya kutokufungwa mechi iliyoshuhudiwa na Rais John Magufuli.

Kagera Sugar imekuwa timu ya kwanza kuvunja rekodi ya Simba ya kutopoteza mchezo kwenye ligi msimu huu, ambapo mshambuliaji Okwi alikosa penati iliyopanguliwa na Juma Kaseja na kushindwa kuinusuru timu hiyo. 


Simba imekabidhiwa kombe la ubingwa la Ligi Kuu msimu wa 2017/18 na Rais John Magufuli.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: