BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WANASAYANSI WAHANGAIKA KUHUISHA MAISHA YA MWANADAMU BAADA YA KIFO



Kampuni ya Uhifadhi (Cryonic Preservation Company) wamekuja na wazo la kuhifadhi mwili wa mtu aliyekufa kwa joto la chini sana kwa matumaini kwamba,
Anaeleza Geofrey Chambua.

utarejeshwa na teknolojia ya baadaye na utakuwa hai tena. Lakini je, cryonics inaweza kuwa njia halisi ya kurudisha uzima, katika siku zijazo?

Sharti ni kwamba lazima utangazwe umekufa kisheria ndipo kampuni hii hutoa timu ya kukabiliana na jaribio la kuweka damu ya mtu ikimzunguka mwili wake. wakati Mwili wa aliyekufa umewekwa kwenye barafu na mwili unafachomwa sindano ya kemikali mbalimbali kwa jaribio la kupunguza kuganda kwa damu au damu kuharibu ubongo.
 Mara baada ya mwili kufikia point wanayoita cryonic facility mwili unakuwa umepoa juu ya maji na damu huondolewa na kuwabadilishwa na kemikali za kuzuia uharibifu. Hatua ya mwisho ni kuweka mwili ndani ya chombo kinachoshuwa kwenye tangi la vimiminika.

Takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa karibu watu 150 wamehifadhiwa miili yao katika liquid nitrojeni nchini Marekani, huku 80 wamekuwa na vichwa vyao au akili zilizohifadhiwa. 


Hata hivyo, kuna watu zaidi ya 1,000 wanaoishi ambao wamewaagiza makampuni ya kuhifadhi miili yao baada ya kifo chao.

 
Kwa nini watu wengine wanafikiri inaweza kufanya kazi?

Wanasema kuna sababu mbili za kuwa na matumaini.
Kwanza, wanasema kuwa uharibifu wa ubongo unaweza kupunguzwa kwa kuhakikisha kuwa viwango vya oksijeni kinakuwa maintained.

Pili, kupunguza joto la mwili ili kupunguza chemical activities katika seli na tishu ili kuzuia uharibifu wowote wa mwili.

mwisho, wakati uharibifu unavyopelekwa kwenye mwili kuwa wa baridi na ugonjwa wowote au kuzeeka wahusika ndio maana wanapata mateso wakati wa kufa ila wakati mwingine uharibufu hauharibu seli zote.

Je! Mwanadamu anaweza kuishi tena?.
Ikiwa wanasayansi wakifanya kazi moja kwa moja na kufanikiwa kuu cryopreserve mwili mzima wa mwanadamu , bado kuna suala la gumu jinsi gani wataurudisha uishi na ni nafsi gani itauvaa huu mwili japokuwa mpaka sasa kuna tetesi zinaonesha asilimia kubwa wameshaweza kuu cryopreserve mwili.

Dk. Gao alisema: "Hata kama wataweza kupunguza uharibifu kwa kutumia cryoprotectants, swali linabaki la jinsi wataziondoa hizo solution salama mwilini na kuweka damu.".  

Geofrey Chambua ANAPATIKA UKURASA WA FACEBOOK
https://www.facebook.com/profile.php?id=100008895961948&hc_ref=ARQ8phZAmaxFEz3WBCPwkQe47lehYG5p36Uc1fxukND0OobRsI7K23pE2RaScAbzLYg&fref=nfhttps://www.facebook.com/profile.php?id=100008895961948&hc_ref=ARQ8phZAmaxFEz3WBCPwkQe47lehYG5p36Uc1fxukND0OobRsI7K23pE2RaScAbzLYg&fref=nf
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: