BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MANANASI YA VULI HAYO.

Mfanyabiashara wa kuuza matunda katika soko la Mawenzi Manispaa ya Morogoro Mashaka Hamisi akipanga mananasi katika soko hilo wakati akisubiri wateja wake kununua kutokana na upatikanaji wake kuwa mgumu yamekuwa yakiuzwa kati ya sh 400 hadi sh 1500 tofauti na msimu wake ambapo huuzwa kati ya sh 100 hadi sh 700.



Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: