Romana Mzunda kutoka katika ofisi ya Ukaguzi wilaya ya Mvomero Morogoro na Henry Kawandakutoka katika ofisi ya Ukaguzi wilaya Bahi Mkoani Dodoma wakiwa katika mafunzo ya jinsi ya kutumia magazeti kama nyenzo ya kufundishia mashuleni ili kuboresha na kuinua uwezo na ujuzi wa kusoma kwa wanafunzi iliyoandaliwa na shirika la Maendeleo la Uholanzi ambapo mafunzo hayo yanafanyika Edema mjini Morogoro.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment